MSAADA: Jinsi ya kurudisha mafaili ya Local Disk D

Lee

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
44,011
Reaction score
150,546
Wakuu natanguliza salam kwanza
[emoji117] Naomba tujuzane kama kuna uwezekano wa kurudisha mafaili ya disk tofauti na C kwenye PC, mfano PC ina partition 2 tu means local disc C na D na ikatokea ya data za disc D zikafutika

Nawezaje kuzirudisha hizo faili ??

Msaada tafadhali
 
Inahitaj password kweny hatua ya kusave mwishon
 
Reactions: Lee
Ni kitu ambacho interface yake inaeleweka sema usi run kweny partition ambayo unataka kufanya recover na usi save recovered data kweny partition ambayo ilipoteza hzo data
Asante mkuu japo inshort kwenye hayo mambo niko zero brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…