Ndo hvo ndg yan hii nchi inapoelekea...Naskia bila National ID hawatoi passport siku hizi... Sasa national ID zenyewe ndio hizo unaambiwa uende baada ya week 6
Sent using Jamii Forums mobile app
awa kabisa mtu wa nguvu je sisi wa mikoani ?Bila kitambulisho cha taifa hata usipoteze mda wako pale bora hata ukose birth certificate!...hakikisha unapata national ID ndo uende migr.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama , ni mgonjwa hata bila kuwa na hicho kitambulisho, mkononi, ila umeshajiandikisha na kupigwa picha ungeweza kupewa hiyo hati ya kusafiriaHabar wana Jamii. Nipo katika harakati za kutafuta passport lakini nimekwama katika suala la kitambulisho cha taifa kwan binafsi sina hiko kitu.Sasa NIDA yachukua zaidi ya mwezi mmoja kukipata je kuna njia nyingine ya kufanikisha hili swala bila ya kua na National Id?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hana haja ya kupoteza muda wake, kwenda huko, kifupi bila hicho kitambulisho kupata hati ya kusafiria ni ngumu mno!! Labda awe mgonjwa na tayari awe yumo kwenye system ya NIDA, kuwa anasubilia tu kitambulisho ila alishajiandikisha, atapewa.
Hujasomeka mkuuawa kabisa mtu wa nguvu je sisi wa mikoani ?
Habar wana Jamii. Nipo katika harakati za kutafuta passport lakini nimekwama katika suala la kitambulisho cha taifa kwan binafsi sina hiko kitu.Sasa NIDA yachukua zaidi ya mwezi mmoja kukipata je kuna njia nyingine ya kufanikisha hili swala bila ya kua na National Id?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaeleweka hiyo laki na ishirini ni out of 150,000 ya gaharama ya passport?0674637243 uwe na laki moja na ishirini siku tatu au nne nakupa kitambulisho cha taifa na passport ndani ya siku nne pia kama umekamilisha documents zote
Mi ninahitaj passport Nina namba ya NIDA tu unanisaidiaje nduguNdiyo ni nje ya gharama za passport hyo ni kitambulisho cha taifa tuu
Namba ya Nida inatosha. Sio lazima uambatanishe kitambulishoNaskia bila National ID hawatoi passport siku hizi... Sasa national ID zenyewe ndio hizo unaambiwa uende baada ya week 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba inatosha. Yangu nimechukua Jana bila kitambulishoMi ninahitaj passport Nina namba ya NIDA tu unanisaidiaje ndugu
Sasa kama sina mpango wa kusafiri nitawaambiaje wanipatie passport make mi nataka niitumie kuverify identify Fiverr, na vp ilikugharimu sh. ngapi na kwa mda gani had hukapata passportNamba inatosha. Yangu nimechukua Jana bila kitambulisho
Ni lazima uwe na nia ya kusafiri na vithibitisho watataka, kwa situation Kama yako may be watakuelewa au uwe na connections. Kikawaida niliambiwa nikachue baada ya siku nane ila nilifanya mpango kwasababu ilikuwa na haraka nikapata baada ya siku mbili.Sasa kama sina mpango wa kusafiri nitawaambiaje wanipatie passport make mi nataka niitumie kuverify identify Fiverr, na vp ilikugharimu sh. ngapi na kwa mda gani had hukapata passport
Jumla ulilipa Shilingi ngap Process nzimaNi lazima uwe na nia ya kusafiri na vithibitisho watataka, kwa situation Kama yako may be watakuelewa au uwe na connections. Kikawaida niliambiwa nikachue baada ya siku nane ila nilifanya mpango kwasababu ilikuwa na haraka nikapata baada ya siku mbili.
Ukiwa na documents zilizokamilika hakuna usumbufu wowote.
150,000Jumla ulilipa Shilingi ngap Process nzima