Nani alikuambia ukiwa na Ubuntu hauhitaji antivirus?Wengi wanamawazo kama wewe usijidanganye kutokuwa na antivirus,ni kweli Windows inashambuliwa sana kwani wengi wanatumi OS hii,lakini haimanishi OS zingine hazishambuliwi.
Amka

Ni kweli uelewa wangu ni mdogo with reference to God.Soma hapa wewe mwenye uelewa mkubwa uone labda unaweza nielewe concept yangu."There is nothing like a 100% secured system",I thought you knew?