The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,920 Reaction score 48,079 Apr 14, 2015 #21 danya said: Nashukuru mkuu kwa mfano computer yangu mimi haina tatizo lolote na ina window 7 nataka niweke window 8.1 ni Toshiba Click to expand... Kwa kesi yako hiyo upgrade inawezekana na hautapoteza mafail yako binafsi (Data) japo setting na mambo mengine vitabadilika. Naomba upitie hii link itakupa majibu ya maswali yako mengi sana Update to Windows 8.1: FAQ - Windows Help
danya said: Nashukuru mkuu kwa mfano computer yangu mimi haina tatizo lolote na ina window 7 nataka niweke window 8.1 ni Toshiba Click to expand... Kwa kesi yako hiyo upgrade inawezekana na hautapoteza mafail yako binafsi (Data) japo setting na mambo mengine vitabadilika. Naomba upitie hii link itakupa majibu ya maswali yako mengi sana Update to Windows 8.1: FAQ - Windows Help
paramawe Senior Member Joined Apr 13, 2013 Posts 151 Reaction score 24 Apr 14, 2015 #22 Bahati furaha said: Bei gan mkuu Click to expand... dvd moja ni tsh, elfu kumi ipo safi sn haina tatzo yani ukihitaji driver inakuwa ni driver tu, window ni window tu, ila ya program ndio zipo zaid ya 50 ktk dvd moja unachagua unazotaka kutumia kisha unasetup
Bahati furaha said: Bei gan mkuu Click to expand... dvd moja ni tsh, elfu kumi ipo safi sn haina tatzo yani ukihitaji driver inakuwa ni driver tu, window ni window tu, ila ya program ndio zipo zaid ya 50 ktk dvd moja unachagua unazotaka kutumia kisha unasetup