ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Mimi sio mtaalamu wa mambo haya ila through hili jukwaa kidogo naelewa vingi sasa kuna hili bado sijalijua naombeni msaada
Mtaani utakuta matangazo mengi ya mtu akiwa anafanya kazi za kuweka na kutoa aina fulani ya windows katika PC na akitaka kulipwa huwa sioni kama ni kazi kubwa kama ile ya kushika PC sasa nilikuwa naomba kuelekezwa how to do it? Under the following guidelines
Kabla sijaanza kufanya hicho kitu niwe na nini na nini mfano nina Pc angu ina Windows 7 nataka kuweka Windows 8.1
Na window nayo kuwa nataka sina je kuna uwezekano wa kudownload window yoyote ile kwenye mtandao free? Naomba link kama inawezekana
Baada ya hapo nifuate step zipi zitakazo niwezesha kudondosha window fulani hadi kuweka nyinge nikiwa nimetulia chumbani kwangu bila karahaaa
nipigie humu nikuelekeze mkuu maelezo sina mda wa kuandika.0767879784
danya, hongera kwa kuonyesha nia ya kutaka kujifunza.
Bila kujali njia utakayotumia, si kushauri uwe mtumiaji wa kudownload fo free hizo windows, zitakuletea matatizo hasa za Microsoft.
Zinakua na license na unazinunua au kupewa na mtu aliyenunua.
Kabla ya kuinstall windows/operating system, kwanza kabisa ni lazima uangalie uwezo wa hiyo mashine/ compyuta kama ina uwezo wa kuipokea na kufanya kazi vizuri na hiyo window unayotaka kuweka.
Hapo kwenye ku install na ku uninstall kuna vitu vingi vya kuangali, kwa mfano kama computer ilikua inatumika suala la kupoteza data zilizokua kwenye computer, applications zilizokua kwenye hiyo computer kama utaweza kuzipata tena, drivers mbali mbali zilizokua kwenye hiyo mashine n.k
Mpigie kcamp kwa maelezo zaidi.
Nashukuru mkuu nilijua watu watasumbuka wapi waanzie kunifundisha lakin ndugu umeanza vizuri na nitarudi kwako kwa ajili ya maswali kwa ulivyo nielekeza hapo juu nashukuru ngoja niongee nae na nitarejea
Nashukuru mkuu nilijua watu watasumbuka wapi waanzie kunifundisha lakin ndugu umeanza vizuri na nitarudi kwako kwa ajili ya maswali kwa ulivyo nielekeza hapo juu nashukuru ngoja niongee nae na nitarejea
Karibu mkuu, nakutakia kila la kheri! sitakua mchoyo kuelimishana kile nnachokielewa.
Labda Samaritan akupe maelekezo
Mkuu hapo kwenye kupoteza mafile nifanyaje ili yasipotee au ndo haikwepeki lazima yapotee
Nashukuru mleta mada kwa kuuliza hili kwani namimi pia huwa nainstall ila pananizingua pale pa kuafanya disk partition.
Naomba kwa anayejua aweze kunielekeza hapo tu.
Swali zuri,
Inategemea na tatizo gani limepelekea ufanye installation ya computer yako. Kwa mfano, kama umeamua kufanya upgrade lazima ufanye backup (uhamishe kwenye external hard disk) mafaili yako kabla ya kuanza kufanya upgrade hasa kama itahusisha mambo ya partition.
Kama hard disk inashida au windows imecorrupt na uwezekano wa kufungua mafail yako kwa operationg system ya hiyo computer haupo, inabidi utoe hiyo hard disk na uhamishe mafail hayo kwa kutumia computer nyingine inayofanya kazi.
Ushauri:
Ni vizuri kufanya backup kila mara hata kama computer yako inafanya kazi vizuri kwa sababu inaweza kupotea kuharibika au kupatwa na janga lolote, kua na mafaili yako sehem tofauti itakusaidia.
Shukran
Bila shaka zile screenshot za samaritan zitakusaidia si ndio
mkuu ukihitaji dvd za windows za microsoft ninazo pia drivers ninazo, na programs za kuweka baada ya kuinstall ninazo nicheck hapa utakapohitaji 0655 600 437.
kwa kuanzia kama una pc ambayo huna kazi nayo au iko empty. jaribia huko. ,format partition,delete, create mpya, cheki options zingine.cheza nayo hiyo mpaka utazielewa zote. vitu vingine unajifunza kwa kufanya na kukosea kuona inakuaje
kwa kuanzia kama una pc ambayo huna kazi nayo au iko empty. jaribia huko. ,format partition,delete, create mpya, cheki options zingine.cheza nayo hiyo mpaka utazielewa zote. vitu vingine unajifunza kwa kufanya na kukosea kuona inakuaje