mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 947 Nov 28, 2017 #1 Habari wakuu naomba msaada jinsi ya kublock namba,zisiingie sms wala call
lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,751 Reaction score 26,049 Nov 28, 2017 #2 Haijajitosheleza Jina na toleo la simu na OS
lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,751 Reaction score 26,049 Nov 28, 2017 #3 Unataka kublock sms tu calls tu au zite mbili?
mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 947 Nov 28, 2017 Thread starter #4 lembu said: Haijajitosheleza Jina na toleo la simu na OS Click to expand... Tecno C9,android 6
mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 947 Nov 28, 2017 Thread starter #5 lembu said: Unataka kublock sms tu calls tu au zite mbili? Click to expand... Zote mbili
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,285 Nov 28, 2017 #6 ngoja wataalam waje wa hizo simu mm najua Blacklist option yake zaidi ni kwenye Settings au calling
F FreedomTZ JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 1,104 Reaction score 251 Nov 28, 2017 #7 Fungua Google playstore halafu tafuta (search) call blocker. Utapata apps nyingi za namna hiyo; chagua inayokufaa na ku-install
Fungua Google playstore halafu tafuta (search) call blocker. Utapata apps nyingi za namna hiyo; chagua inayokufaa na ku-install
lembu JF-Expert Member Joined Dec 31, 2009 Posts 19,751 Reaction score 26,049 Nov 30, 2017 #8 Truecaller ni afadhali lakini chalenge ya android ni hizo apps na matangazo ni kero kuliko hizo spam za sms. Take my word ndio maana mimi nawaheshimu sana apple, huu upuuzi wa spam haupo kwenye iphone
Truecaller ni afadhali lakini chalenge ya android ni hizo apps na matangazo ni kero kuliko hizo spam za sms. Take my word ndio maana mimi nawaheshimu sana apple, huu upuuzi wa spam haupo kwenye iphone