kule tamisemi wanaona kazi kupokea barua za uhamisho we cha kufanya andika barua kwa afisa elimu wa shule uliopangiwa ipitie kwa afisa elimu wa wilaya na mkuu wa shule alafu na anuari ya shule unaoenda
ukimaliza we unapitisha tu wao wanasaini kazi mpk ukifika kwa afisa elimu mkoa unakupa form flan hiv
mengine utajua ukifanya hilo