MSAADA JINSI YA KUAPPLY VYUO

juliusJr

Senior Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
180
Reaction score
61
Jaman habarini za asubuhi mimi nmehitimi kidato cha 6 mwaka huu 2016 na nimepata division 2 ya point 10 combonation HGL nataka nianze application leo na nimepewa pesa sasa sijui nianzie wapi yani nalipia wapi nafnyaje kupata account TCU please msaada wenu kaka na dada zangu na ndugu nyotee ahsanteni
Nawasilishaaa
 
Ingia tovuti ya tcu cas, bonyeza 'download guidebook' kisha soma maelekezo kwenye hiyo guidebook. Kuna sehemu inaelekeza jinsi ya kulipia 50,0000 kwa m-pesa, maxmalipo, tigopesa nk.
 
Umefanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…