Msaada jinsi ya kuapgrade os ya iphone 4

Matanzia kizebazeba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
654
Reaction score
630
Habari wakuu nimeona matangazo ya ios7 imenivutia sana natamani ku-upgrade ios ya simi yangu ila nimejarbu sioni mahali pa upgrade ila sijaona,
Na je ukiupgrade kuna matatizo yoyote?
 
Unatumia I tunes.. Hapo it means uwe na computer yenye mac os au windowa then unaidownload itunes kutoka hapa

Apple - iTunes - Download iTunes Now then unaconnect i phone yako na pc yako.. I tunes hujifungua yenyewe!! Kwenye collum ya kwanza huku huwa inaonekana i phone yako ikiwa na jina uliloiwekea(mostly jna lako ila kama ya mtumba utajicheki) then iafunguka collumn ya details kuhusu simu yako (sumary) then utaona wamekuandikia version ya ios iliopo na kama kuna option ya ku upgrade utaona kuna sehemu imeandikwa upgrade



Kuhusu kupata matatizo si rahisi ili mradi una internet ya kutosha... Pia i phones na Windos si rahisi kuziharibu tofaut na symbian na androids... Labda matatzo unayoweza pata ni labda unaweza ona betri limeongeza kas ya kupungua au lkawa lmeongezeka kukaaa hapa sna uhakika na ios 7 maana enz ios 5 inatoka kulikua na malalamiko kua ni power hunger sana
 
Thankc sana nimekuelewa itune 11 ninayo kwenye laptop angu installed.
Yes ios5 inakula sana chaji ila naskia ios7 wameweza sana kuliko version yoyote before
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…