MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,751
- 6,662
Habarini wakuu, wadau msaada tafadhali! nimejaribu kudownload linux version tofauti tofauti lakini tatizo langu lipo kwenye ku-install. kila nikijaribu inaniletea error flani hadi nashindwa nifanyeje! je, hii linux nloidownload ni lazima nii-burn kwenye DVD kwanza ndo niweze kufanya installation au naweza tu nkatafuta setup file lake nka-run tu kama installation nyingine zinavyofanyika coz ipo kwenye winrar.
Swala la pili nimedownload linux version ya 16 (PETRA) lakini baada ya kumaliza kudownload kale ka-setup kake hakipo, je hiyo nayo nikiiburn ntakuwa nimeharibu tu DVD for nothing?
Je, kama itanilazimu ku-burn, ntaiburn kivipi (procedures)........... ikumbukwe kuwa zote zipo kwenye Zipped file (winrar archieve)
Burn kwenye DVD au tengeza bootable USB disk.
Tumia hii software.nitaiburn vp kwenye DVD au bootable USB? Msaada tafadhali
Linux nshawah kuitumia ila matoleo ya mwanzo Mint 7, so haitanisumbua mkuu..Mkuu, ni bora ukafuata ushauri wa Young Master, usivamie linux kwa kuanza na vitu ambavyo ni complex
nashukuruni sana wadau! nimetumia njia ya kuboot kwa kutumia flash! nimefika sehemu flan hivi ndo nikagomea hapo coz nlikuwa sijui cha kufanya nliogopa ku-overwrite hii windows iliyopo saivi! nataka hii windows nayotumia iwepo vile vile manake niwe na na hii linux na hii nayotumia sasa nimekwama hapa wadau sijui cha kufanya
baada ya kumaliza stages za mwanzoni, niliclick hapa
View attachment 132681
then ikanileta kwenye stage hii
View attachment 132680
Nimefika hapa na ndo nlipokwamia nifanyeje ili nisije nikafuta ka-windows kangu?
Shukrani......