Wadau naomba msaada wa jina la wimbo ambao ferooz ameshirikishwa wa zamani kidogo wa bongofleva
ambao una vipande hivi
"ningeweza ningeomba wazazi wangu warudishwe duniani...."
"mkiwa mi najikongoja,mkiwa mi najikongoja...."