Habari wakuu,
Nimesikia leo huu wimbo wa bongo fleva, una maneno haya
"Tumetoka mbali sana baby, usisikilize maneno..."
"Tumetoka mbali sana baby, usisikilize maneno..."
"Na-na-na naaa.....na na-na-naaaa"
Kwa anayejua jina la wimbo au msanii aliyeuimba, naomba anisaidie.