dthe -mohammed New Member Joined Aug 11, 2022 Posts 4 Reaction score 0 Sep 9, 2022 #1 Msaada nahitaji kununua desk top aina ya HP core 2 duo kwaajili yakucheza games kama fifa 22 na mengine vp jaman itasapot
Msaada nahitaji kununua desk top aina ya HP core 2 duo kwaajili yakucheza games kama fifa 22 na mengine vp jaman itasapot
Fabijr Member Joined Sep 16, 2015 Posts 24 Reaction score 20 Sep 9, 2022 #2 Hata FIFA 2009 haiwezi.. tafuta pesa hiyo ni ya Stationary
dthe -mohammed New Member Joined Aug 11, 2022 Posts 4 Reaction score 0 Sep 9, 2022 Thread starter #3 Fabijr said: Hata FIFA 2009 haiwezi.. tafuta pesa hiyo ni ya Stationary Click to expand... Duh sasa mkuu nipate ipi ambayo naweza chaza hizo game
Fabijr said: Hata FIFA 2009 haiwezi.. tafuta pesa hiyo ni ya Stationary Click to expand... Duh sasa mkuu nipate ipi ambayo naweza chaza hizo game
proxy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 1,481 Reaction score 1,356 Sep 20, 2022 #4 dthe -mohammed said: Duh sasa mkuu nipate ipi ambayo naweza chaza hizo game Click to expand... Tafuta i5 au 7 ,yenye ram 8 Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
dthe -mohammed said: Duh sasa mkuu nipate ipi ambayo naweza chaza hizo game Click to expand... Tafuta i5 au 7 ,yenye ram 8 Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
dthe -mohammed New Member Joined Aug 11, 2022 Posts 4 Reaction score 0 Sep 20, 2022 Thread starter #5 Siwezi badili Processor nikatoa duo nikaweza i5 au 7
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,944 Reaction score 810 Sep 20, 2022 #6 Ishu sio processor kuwa kubwa, nunua yenye ukubwa angalau core i3 4th gen ana ram upgrade angala 6 au 8 ongeza na Nvidia graphics card angalau ya 4gb utacheza game yoyote unayotaka
Ishu sio processor kuwa kubwa, nunua yenye ukubwa angalau core i3 4th gen ana ram upgrade angala 6 au 8 ongeza na Nvidia graphics card angalau ya 4gb utacheza game yoyote unayotaka
dthe -mohammed New Member Joined Aug 11, 2022 Posts 4 Reaction score 0 Sep 20, 2022 Thread starter #7 Pa1 sana nimekuelewa mkuu inamaana hapo ishu ni graphics na ram ziwe za kutosha ndio mashine inakua na uwezo wa kusapot games
Pa1 sana nimekuelewa mkuu inamaana hapo ishu ni graphics na ram ziwe za kutosha ndio mashine inakua na uwezo wa kusapot games