Unaposema ni icloud lock una maana gani na nini athari zake???
Unaona hiyo status ya Find
My Phone iko on hiyo ndo icloud lock ni securty ya sim kwa maana nyingine imelockiwa na hiyo lock huwezi kwa namna yoyote kuitoa mpaka uwe na id pamoja na password yake watu tunazo simu nyingi za hivyo zilisha shindikana tafuta uzi humu upo wa icloud lock
Aksante sana nimeichukua asubuhi hii kuijaribu kwenye itune haiitambui na haisomi kwenye computer na itune pia dkashombo2013
Ukiwe line vipi inafanya kazi?
Naomba mnisaidie kujua na hii ikoje
Version 7.1.2 (11D257)
Model MC536LL/A
IMEI 01 296100 466318 2
ICCID 8925 5020 4091 9481 027
Firmware 04.12.09
Unaona hiyo status ya Find
My Phone iko on hiyo ndo icloud lock ni securty ya sim kwa maana nyingine imelockiwa na hiyo lock huwezi kwa namna yoyote kuitoa mpaka uwe na id pamoja na password yake watu tunazo simu nyingi za hivyo zilisha shindikana tafuta uzi humu upo wa icloud lock
Bahati nzuri Jamaa kanipatia ID yake na Password na hiyo Find my Iphone nimeiweka OFF lakini naona kuna tatizo la Computer kutoitambua na Itune nayo haiitambui hiyo Iphone any body can help me?????? @dkashombo na WENGINE.