msaada japo si jukwaa lake

netti mimi

Senior Member
Oct 10, 2016
147
108
habari wakuu naomb kuuliza kuhusu hii sheria ...Kunamama angu mdogo amezaa mtt mmoj na mumewe ambae mumewe kwa sasa kafarik huku ameacha watt wa nje wanne sasa shida ni wale watot walikuwa wanamsumbua uyu mama auze nyumb mpaka kweny kata sasa uyu mama akutaka akaa we mpaka sasa ameamua kuuza nyumba kwa hiyar yake uyu mama ili awape awa watoto wa nje nawao kidog usumbuf uishe kila mtu ale hamsini zaje chaajabu saiv wanakataa...Na uyu mama kutokan na usumbuf anataka kuuza aondoke wanadai eti wanauza kwa bei ndogo thamani ya nyumba awaijui wao ni kulalamika tu je uyu mama akiamua kuuza yy mwenyew kunakosa hapo maana anawaita awataki na je afanyaj au auze fedh apelek serekar yesterdaya mtaa...Mama mdog ajafung ndoa na uyu mwanaume ila wamechum woot mali naomben majib wakuu... mSinituknnmasn jukwaa lake nimepek sijapat majibu
 
Jukwaa la sheria ndio mahala pake. Hii ni suala la mirathi,mshauri afike mahakamani kwa msaada zaidi.
 
habari wakuu naomb kuuliza kuhusu hii sheria ...Kunamama angu mdogo amezaa mtt mmoj na mumewe ambae mumewe kwa sasa kafarik huku ameacha watt wa nje wanne sasa shida ni wale watot walikuwa wanamsumbua uyu mama auze nyumb mpaka kweny kata sasa uyu mama akutaka akaa we mpaka sasa ameamua kuuza nyumba kwa hiyar yake uyu mama ili awape awa watoto wa nje nawao kidog usumbuf uishe kila mtu ale hamsini zaje chaajabu saiv wanakataa...Na uyu mama kutokan na usumbuf anataka kuuza aondoke wanadai eti wanauza kwa bei ndogo thamani ya nyumba awaijui wao ni kulalamika tu je uyu mama akiamua kuuza yy mwenyew kunakosa hapo maana anawaita awataki na je afanyaj au auze fedh apelek serekar yesterdaya mtaa...Mama mdog ajafung ndoa na uyu mwanaume ila wamechum woot mali naomben majib wakuu... mSinituknnmasn jukwaa lake nimepek sijapat majibu
Huyo Mama akae nao wote tena na Mama zao, na waangalie nani mmiliki / Mrithi wa hiyo nyumba
km yeye kachangia chake kielezwe atakata katika % zake
Yote atumie Mahakama ya mwanzo, apeleke cheti cha kifo kwani mumewe ana ndugu kibao
la sivyo Mama yako mdogo km hakuolewa rasmi kuna mgao wake
ingia Jukwaa hili Jukwaa la Sheria (The Law Forum)
 
Back
Top Bottom