Archtecture impossible kwa huo mswaki wa hesabu sahauu
Nikireseat ntatakiwa nianze certificate auKareseat utoe hiyo F ya maths then utaapply mwakani.
Itategemea na matokeo utakayopata baada ya kureseat, ukiperform vizuri unaweza kwenda form 5, ukiperform kawaida utaenda chuo kuanzia certificate.
kaka mbona matokeo yako yako poa saaana hakuna haja ya kuresit kaka hapo soma mambo ya health system management hautakuja kujuta please usiresit may be kama unataka kusoma science career ndio itakuwa ngumu coz una F ya mathHabari wana jamvi nimemaliza form four mwaka jana (2017) na nimepata division 3 ya 25
Bios c,hist D,math F,geo C,kisw D,eng D,civ C,fine art D
Naweza kuapply chuo Gan Na nitasomea faculty gan au nireseat
Natanguliza shukrani zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Architecture huwezi....
Kwa matokeo haya, nakushauri ukanze certificate ya misitu....baadae unaweza jiongeza na kusomea hayo mambo ya tourismHabari wana jamvi nimemaliza form four mwaka jana (2017) na nimepata division 3 ya 25
Bios c,hist D,math F,geo C,kisw D,eng D,civ C,fine art D
Naweza kuapply chuo Gan Na nitasomea faculty gan au nireseat
Natanguliza shukrani zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni miaka mingapiKwa matokeo haya, nakushauri ukanze certificate ya misitu....baadae unaweza jiongeza na kusomea hayo mambo ya tourism
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Ingia hapa [emoji116][emoji116][emoji116]