Hawa operators wa mitandao mi naona wanatofautiana kwa kasi ya internet zao kila mkoa, mfano kwa dar naona voda wapo poa, mwanza tgo na halotel shinyanga na singida halotel, kagera voda, kigoma mpanda halotel pia
Spidi ya operator inategemea na eneo ulilopo... Kwaiyo una kaz ya kujaribu mitandao yote kwa eneo lako ndio utajua yupi ni mzur... Ila overall Vodacom anafanya vizur maeneo mengi... Ttcl coverage sio nzur ila ukipata eneo zuri wapo poa....halotel labda vijijin