Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
Yaani unakosea sana. Tena unabahati kama hujasababisha madhara.Jamani habarini wapendwa ni hivi juzi Kati hapo nilinunua multimeter aina ya siltron DT 9205A Sasa ninapashida wakati wakupima kiasi cha umeme kutokana na kwamba inaleta short pindi nianzapo kupima nimejaribu kwanza kwenye port ya 20A kwakuwa nimehisi kuwa umeme wa nyumbani huwa unarange 200mA nakuendelea so nikaona nitumie port ya 20A pia nimetembelea YouTube pia naye katumia port hiyohiyo ko naomba kwa mwenye uzoefu na hi multimeter anisaidie coz nimesita hata kuweka kwa port ya 20mAView attachment 1864989
Nimeanza kukupata Sasa nikitaka kupima current ninatumia ipi 20A au 20mAYaani unakosea sana. Tena unabahati kama hujasababisha madhara.
Kupima umeme:
Waya mweusi siku zote unachomeka kwenye COM.
Na waya mwekundu unachomeka kwenye V ohm . (Port ya mwisho kulia).
Na knob (Dial) inakuwa kwenye AC range ya 700V
Jamani habarini wapendwa ni hivi juzi Kati hapo nilinunua multimeter aina ya siltron DT 9205A Sasa ninapashida wakati wakupima kiasi cha umeme kutokana na kwamba inaleta short pindi nianzapo kupima nimejaribu kwanza kwenye port ya 20A kwakuwa nimehisi kuwa umeme wa nyumbani huwa unarange 200mA nakuendelea so nikaona nitumie port ya 20A pia nimetembelea YouTube pia naye katumia port hiyohiyo ko naomba kwa mwenye uzoefu na hi multimeter anisaidie coz nimesita hata kuweka kwa port ya 20mAView attachment 1864989
Nimeanza kukupata Sasa nikitaka kupima current ninatumia ipi 20A au 20mA
Clamp meter huwa inapima current moja kwa moja tofauti na hizi multimeter.Aaah mkuu umechelewa nimeshachoma nimefanya Kama ulivyosema nisifanye kwenye hi koment ila nikitumia
Mm nilizoea multimeter yangu ya zamani hakuwahi kuwa na complication. View attachment 1865088
Kupima current unatakiwa kuweka 20A endapo unataka kupima current ya kifaa kinachotumia umeme wa Tanesco. (natumaini hiyo mita inapima current ya AC pia)
Kupima current inatakiwa uunganishe meter in a series connection na kifaa unachopima.
Usipime current moja kwa moja kwenye soket (outlet) wala usijaribu kufanya hivyo ni hatari sana.
Aaah mkuu umechelewa nimeshachoma nimefanya Kama ulivyosema nisifanye kwenye hi koment ila nikitumia
Mm nilizoea multimeter yangu ya zamani hakuwahi kuwa na complication. View attachment 1865088
Aaah mkuu umechelewa nimeshachoma nimefanya Kama ulivyosema nisifanye kwenye hi koment ila nikitumia
Mm nilizoea multimeter yangu ya zamani hakuwahi kuwa na complication. View attachment 1865088
Sasa nimesha unguza tunafanyaje ili ipone
cheki ndani ya meter, kuna fuse imekata, most possiblySasa nimesha unguza tunafanyaje ili ipone
Tumia clamp miter na hizo wire zako za mita umechomeka sehemu sio sahihi.Jamani habarini wapendwa ni hivi juzi Kati hapo nilinunua multimeter aina ya siltron DT 9205A Sasa ninapashida wakati wakupima kiasi cha umeme kutokana na kwamba inaleta short pindi nianzapo kupima nimejaribu kwanza kwenye port ya 20A kwakuwa nimehisi kuwa umeme wa nyumbani huwa unarange 200mA nakuendelea so nikaona nitumie port ya 20A pia nimetembelea YouTube pia naye katumia port hiyohiyo ko naomba kwa mwenye uzoefu na hi multimeter anisaidie coz nimesita hata kuweka kwa port ya 20mAView attachment 1864989