Hilo siliwezi mkuu, control ya hilo game kwangu ni shida. Ninalo pes 2012. Ni nzuri sana control yake aisee. Now nalitaka hili la 2018 ila ndo hivyo mkuu. Nimeangaika sana kuiistall hadi kijasho kimenitoka. Ndo nikaamua nililete hapa kwa wajuzi kuomba msaadaSimu yako haina uwezo.Unaweza weka Dream League Soccer nadhani ni zuri zaidi y PES
mkuu kila app au gem linakuwa na requirements zake ili kuweza kukaa na kufanya kazi vzr kwenye simu kwa mfano kuna baadh ya app zinahtaj kuanzia os 4.4kitkat kwa hyo ww kama sim yako ina 4.2jellybean haiwezekan itakwambia this app is not compatible with your device kwa hyo sim yako haijakiz vigezo mkuuWakuu, natumia Tecno P6, nikiingia playstore na kui search game ya mpira ( Pro evolution soccer 2018 ) inakuja kwenye list ila hainiruhusu niinstall na badala yake nakuta ujumbe ( Your device is not compatible with this version )
Nimehangaika sana nimeshindwa. Naomba wajuzi ajue mbinu za kuiinstall anijuze jamani. Ndio, najua shida ni android version, ila hakuna njia za kuniwezesha nkapata hili game. Naipenda sana jamani. Msaada please!
M, barikiwe