Unaposema inalipa,una maanisha inaweza kukupa ajira tu au nini?
Maana mimi niliulizwa ni kozi gani yenye kutoa ajira kwa uraisi nitakwambia ualimu,polisi na jeshi.
Nenda kasome, na kwakua unaipenda natumai utaijua Tellecom na sio Tellecom ikujue wewe... Ajira zitakuja tu kama utatoka unayajua mambo kisawa sawa... ma million ni ya kufikia

Tena ukiingia mwana Jikite sana kujua ma Installation ya 4G na 3G na mauchafu yake mengine yote yanayo husiana na izo makitu maana hapa bongo hakuna watata wa hayo makitu.. pamoja na CDN hii ni marketable sehemu yoyote duniani..........