sasa Mkuu wewe umeandika kiswahili chako cha kichina china lakini nimekuelewa vizuri una upungufu wa nguvu za kiume kwanza kabisa acha mambo ya kupiga Punyeto jambo la pili Dawa ya kurudisha nguvu zako za kiume hebu tembelea bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.htmlMi nnatatzo la nguvu za kiume tatzo hili nimedumu nalo kwa muda murefu sasa. Yaan kwa kifupi huwa napata shida sana pale napokuwa nataka kusex, kila ninapokuwa na mwanamke mashine yangu hucmama kwa shida sana..na hata ucmamaji wenyewe unakuwa cyo ule wa kuridhisha. Wakati mwingine hukataa kabsa kucmama. Kunakipindi huacha kucmama ghafla nikiwa katkat ya sex...nimefanikiwa kuwaona madaktari wawili watatu wote waliniambia ni tatzo la kisaikolojia, walinishauri namna ya kufanya lakini naona bado tatzo linaendelea. Cjafanikiwa kuonana na madaktari bingwa bado...ushauri wenu jamani maana linaniumiza sana hili tatzo. Wasichana wengi wamenikimbia nahisi kabsa huwa cwaridhishi maana wakati mwingine hushindwa kabsa kusex hata nilale na msichana usiku kucha.
Duh pole sana mkuu wengine hili wengine lile ila naamini utapata ufumbuz tu hapa jamii forum kuna watu makini sana kikubwa kua na subra tu na uwe karibu na hii mada yako ili utakapoulizwA maswali na wajuzi wa mambo iwe rahisi kwako kuwajibu
Pamoja mkuu utapona tu kwa uwezo wa MUNGU!!!!!!
sasa Mkuu wewe umeandika kiswahili chako cha kichina china lakini nimekuelewa vizuri una upungufu wa nguvu za kiume kwanza kabisa acha mambo ya kupiga Punyeto jambo la pili Dawa ya kurudisha nguvu zako za kiume hebu tembelea bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
Daah asee pole mdau. Vipi tatizo limekuanza ukubwani ama tangu udogoni? Maana kuna mawili either nguvu zimepungua ama ndivyo ulivyozalia. tuanzie hapo kwana.
Pole sana Mkuu, je umeshaoa? unafanya au ulikuwa ukifanya punyeto miaka ya nyuma? nitajie urefu na uzito wako
Jaribu kutumia Ocean plus ni dawa nzuri.