Nashauri epuka vinywaji vya sukari viwe vya dukani au kutengeneza mwenyewe sababu vinaongeza hali ya kuharisha 'simple logic ya osmosis'.....tumia ORS na jtahidi kumnyonyesha asipoteze maji mengi mwilini,,,halafu nenda hospitali mapema sababu kutokula,kutapika na kuharisha ni vigezo tosha vya kuwa chini ya uangalizi wodini.