Na kama VGA inaharibika kila mara hiyo ni ishara mbaya kwa pc yako, angalia pengine operating system unayotumia haipo compatible na pc hardwares, pia jitahidi uwe unatumia regulator kuunganisha pc yako katika umeme kwani inaonekana umeme haupo stable hapo.