Msaada jamaa anataman kujinyonga...

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
mapenzi ni matam lakn ni hatari,.urafk wa mtu na mapenz ni kama umeme au moto hv vtu ni muhm sana kt maisha lakn huwez kugeuka na kuwa adui mkubw kt maisha.,.oky acha niendelee kuna jamaa yang wa karbu sn alkuw na mpenz wake miaka 6 iliyopta tena albahtk kuzaa nae na mtoto ana miaka 5 sasa,mwaka huu alipgiwa simu na rafk yake ambapo urafk wao ni ktambo sana tena ndye aliyekuwa shemej mkubwa wa yule dem wake.,we acha tu,!! naendelea..simu aliyopgiwa ilimpa mshtuko mkubw maana ilianza na neno samahan kisha ikaendelea...''najua ww ni rafk yang mpendwa ila naomb leo nikwambie ukweli kwamb yule uliedhan ni mtot wako si wako bali ni wa kwangu'' jamaa akahamak na kumpgia sim mama wa mtot naye akathbtsha huku akisstiza asamehewe..jamaa amechanganykiw mpk anafkria kujiua.,(mwenye ushauri karb)..NAWASILISHA
 
hajui maisha ni zaidi ya hayo mapenzi,cha msingi mpeni ushauri kuwa si yeye peke yake aliyelea mtoto wa mwanaume mwenzie kwa miaka kadhaa halafu akaambulia maumivu ya moyo,awatupilie mbali mama wa mtoto,mtoto na rafiki baada ya kupima DNA na kupata uhakika kuwa huyo mtoto sio riziki.
 
sometimes i wish a world without women.
 
Asijinyonge atafute Insuline kwa watu wa maabara halafu ajidunge habari itakua imeisha kirahisi tu
 
Mungu amemwepushia balaa zito,akubali yaishe mlango mnmoja ukifungwa mingine inafunguka
 
mapenzi haya!
 
Mmmh kujiuwa sio solution atatuacha sisi tunaishi duniani..amezeeka kwani kama ni mim. kama ni mim lakini..kama sijafikisa umri wa miaka 30 namuacha natafuta mtu mwingine..
 
Asijiue kwani hata akijiua haito change the fact kuwa yeye sio baba wa mtoto.....

It hurts but Death is not a solution.........
 
afu hayo mambo yenu ya ushemeji shemeji hayo ndo matokeo yake!!!!!!.Angalizo kwa mleta mada na wewe usimuumize mshikaji usimjaze mimba mtu wake wa kipindi afu ukampigia simu
 
Ajiue!!!!
Ili iweje????
1 Akapumzike au?!! Nani kamwambia kaburi kuzuri!!!?
2 Au ndio atamkomoa huyo ke na rafiki yake?
Nani kamwambia mtu hukomolewa hivyo???!!
...
Mwambie akawafungulie kesi ya madai, huenda atawayumbisha kiuchumi!
Coz kuna loss/injure/damage mbili hapo!
1 financial.
2 physical: reputation, psychological injures!!!!!
...
Mwambie aache visasi vya kipuuzi!!!
 
mbona unaandika utumbo usioeleweka wewe,? unadhani uko facebook au youtube hapa? tambua hapa ni jamiiforum andika kinadharia na kiuelewekaji
 
unamwandiko mbayaaaa


Ila huyo jamaa yako anajua thamani ya maisha yake?
Akijiua mtoto ndo atakuwa wake?

Mwambie aache ufala akijiua wenzie maisha yanarndelea

Ugali ulivyo mtamu hivi halafu uuache kizembe zbe tu


Haiwezekani aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…