Burton86jm JF-Expert Member Joined Jul 28, 2011 Posts 616 Reaction score 183 Mar 9, 2013 #1 Naomba msaada wa haraka kwenye ufahamu juu ya tatizo hili simu ya iphone 4s,imezima tu,wakati natumia.
Naomba msaada wa haraka kwenye ufahamu juu ya tatizo hili simu ya iphone 4s,imezima tu,wakati natumia.
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 521 Mar 10, 2013 #2 Burton86jm said: Naomba msaada wa haraka kwenye ufahamu juu ya tatizo hili simu ya iphone 4s,imezima tu,wakati natumia. Click to expand... Battery imeisha charge,,
Burton86jm said: Naomba msaada wa haraka kwenye ufahamu juu ya tatizo hili simu ya iphone 4s,imezima tu,wakati natumia. Click to expand... Battery imeisha charge,,
N ntoja Member Joined Feb 21, 2013 Posts 9 Reaction score 0 Mar 10, 2013 #3 Ikaushie kwa mda then iwashe
Antachable_kid Member Joined Jun 20, 2012 Posts 94 Reaction score 40 Mar 11, 2013 #4 Bonyeza buton ya juu na ya kati zishikilie kwa pamoja kwa muda kama dk kumi nakuendelea itawaka
ManiTek TV JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 410 Reaction score 159 Mar 12, 2013 #5 mwangere said: Bonyeza buton ya juu na ya kati zishikilie kwa pamoja kwa muda kama dk kumi nakuendelea itawaka Click to expand... Sio dakika kumi nadhani amekusudia sekunde 10
mwangere said: Bonyeza buton ya juu na ya kati zishikilie kwa pamoja kwa muda kama dk kumi nakuendelea itawaka Click to expand... Sio dakika kumi nadhani amekusudia sekunde 10