Ukiweka line inadetect tu kuwa kuna line lakini haitambui network nilijaribu kuuliza voda nikaambiwa mpaka niiflash nikajaribu kucheki kwa wahindi fulani wakaniambia niwaachie model ya simu nirudi baada ya siku kumi nimejaribu kucheki online forums nimeona kuna namna fulani but ya kurestore but up to now ninaendelea kudownload ISO ya hiyo store na haijamaliza kama kuna njia rahisi naombeni msaada wadau.