Mwenye kufahamu wadau na aliefanya interview pale ero link anijuze angalau nipate mwangaza interview za pale zinakuaje, coz wameniambia kesho nitafanya interview ya written, typing na computer, kwa aliyewahi kupitia pale msaada wadau
written..english ya form one eg unajua kutumia maneno kama under, whereby, on, therefore. Typing wanaangalia speed yako. Computer kama unajua kufungua folders na kusave.
Itakusaidia kama umeitwa kwa ajiri ya customer care.