Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

Wee kijana bado ni binadamu kabisa, huyo ni malaya na malaya huwa haachwi wala hapendwi so huwa analiwa tu na kulipwa, hakuna malengo wala hisia ni just kutiana na kupotezeana mda kisha unasaka alietulia unaoa kimya kimya unamwacha malaya kwenye mataa
 
Wee kijana bado ni binadamu kabisa, huyo ni malaya na malaya huwa haachwi wala hapendwi so huwa analiwa tu na kulipwa, hakuna malengo wala hisia ni just kutiana na kupotezeana mda kisha unasaka alietulia unaoa kimya kimya unamwacha malaya kwenye mataa
 
Unaongea sana,na usipokuwa makini ukimwi utaukwaa,Acha kuangalia nyuma.


Narudia kuna ugonjwa unakitafuta kwa huyo changudoa
 

Aki wew n chizi[emoji23][emoji23]
 

[emoji2157][emoji2157][emoji2157]
 
Aisee! we jamaa una moyo kweli
moyo upumbavu,demu kasha jua jamaa domo zege hawezi pata mtu mwingine yaani anakazwa nje na unafahamu na yeye anathibitisha alafu unasamehe hahahahaha hii inafurahisha.

unaenda unalia kwa maza, badae unabembelezwa unakubali aiseeh kuna tatizo mahari (vile ujawah kuwa na michepuko ndo maana unaendeshwa)

tafuta videmu vyako vi 2-3 huyo unamsahau kesho tu
 

Sema nini bro shtuka bro
 

Oyaaaaah kesho mbali mbn [emoji23][emoji23][emoji23]nampa masaa aidha moj au mawil [emoji28][emoji28]
 
Matukio yote hayo bado unang’aninia mtu kama huyo kwanza kashazeeka, kuna vidada vimezaliwa 2000 vibichi na vinaweza kukupa respect km yote
 
Nikajua Limbwata ni kwenye Ndoa tu kumbe hata Wapenzi pia unaweza kufanywa ndondochaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe sio limbwata ila ushakuwa ndondocha kabisaaa... Sina cha kukushauri ambacho kinaweza kukufanya umuache huyo mwanamke maana aliyokufanyia toka ile umejua ametoa mimba ambayo sio yako ilibidi uwe ushamuacha kitambo sana lakini ntakupa sababu kwa nini humuachi.


Huyo demu ni mzuri sana inawezekana unaona kabisa sio standard yako so wewe ndo unajiforce kwake.

Wewe muoga sana kutongoza yanii domo zegee hasaaa mzee ndio maana unaona ukimuacha huwezi pata demu mwingine ambae atakuwa anakupa Mbunye muda unaotaka kama huyoo. Kimsingi hata kama una michepuko lazima inakubania.

Wewe binafsi una mapungufu maana hela inaonekana unayo ilaa Nguvu za kiume inaonekana ni changamoto mzee..

Katika hayo matatu kuna jibu sahihi kama huyo demu hajakuwekea LIMBWATA.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Bravo. Man down. I repeat man down... We are surrounded and we are taking heavy enemy fire. We need air support. Bravo do you copy?
Copy that loud and clear! hold your breath son,maintain rule # five never trust a woman,once a liar alywayz a liar. Bravo Charlie air support Negative, I repeat Negative,prepare to defend yourself.
 
Spin Doctors and Game Changers At Work.

Taratibu za kujikinga na UVIKO19 ni zile zile hazijabadilika.
 
Dah...imenisikitisha sana! Mimi nimepitia mengi na magumu sana kwenye mahusiano kwa kumpenda binti mmoja kwa muda mrefu sana na kumuamini sana...amenipiga matukio mengi sana na nilikuwa namsamehe mara nyingi sana...ila nakiri wazi sijakufikia wewe aiseee!! Una moyo wa ajabu sana...

Ila usijali, hapo ni kama upo kwenye kifungo fulani tu kwa muda, utakuwa huru baada ya muda, na moyo wako utaelekea kwingine! Jipe tu muda, hizo hisia zitakuisha! Mimi pia sasa hivi zimeniisha na nimehamishia moyo sehemu salama kabisa kwa sasa hivi! Hapo unatakiwa uruhusu macho yako yaanze kuona furaha zingine tofauti na mapenzi....macho yataurubuni moyo....na utafanikiwa
 
Anza kupiga mechi za 'ndondo' then utaona hakuna jipya kwake.
Achana na huyo Malaya.
 
Watu wa sekta ya afya,hawaogopagi ngoma kabisa.

Anafanya yote hayo kwa vile uko mbal nae,mchukue uishi nae hata Fanya hayo anayoyafanya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…