Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

Bravo. Man down. I repeat man down... We are surrounded and we are taking heavy enemy fire. We need air support. Bravo do you copy?
yes soldier... gunship airsuport 2556-01,we are on air 68NW/360miles/hr take cover....take cover soldier... platoon 107, platoon 107 move back..move back.[emoji95][emoji95][emoji95]
 
Kaka achana naye njoo Tanga nimewajaza nikupatie mke ila uwe muislamu tu

Achana na wanawake wa kubembeleza kuna magonjwa siku hizi
 
Huna msimamo hata kidogo na hili litakugharimu sana kama mwanaume.. matukio yote hayo still unajifariji kijinga unaishia kujilizaliza umetudhalilisha sana.

Tafadhali tuombe radhi wanaume wote.
 
Tumepitia mengi Ila ya kwako imezidi mkuu, mbaya zaidi kwa harakaharaka nomegundua ww una taaluma ya u doctor na bado hifuati taratibu za kiafya, kweli demu Kama huyo unathubutu kumla bila Ndom?
 
Pole sana.Lakini nachokiona hutaki kukubaliana na ukweli kuwa huyo demu ni malaya.
Lazima ujifunze ku copy na stress kuwa huyo demu hakufai.Ili umsahau pia kubaliana na maumivu kwa mda then utatoka imara zaidi.Otherwise atakuvuta mpaka kaburini ukimuendekeza.Mm kitendo cha kukubali kuwa alilala na mtu mwingine anatupwa nje ya kikosi hapo hapo.
Man up!mwondoe kwenye equation huyo hasidi.
 
Asante kwa hii elimu. Ngoja niandae zana
 
Duh sina la kukushauri zaidi ya polee kwa kutumia moyo kufanya maamuzi badala ya kutumia ubongo.

Huyoo hatakaaa abadilike UTAKUJA KUFA kisa huyoo malaya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…