Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

Kwanin Mkuu?
Iwapo ni stori ya kweli Mchawi ni wewe mwenyewe.
Inaelekea huyo ndie wa kwanza kukukoleza,
Yaani una 'kaushamba' fulani nae kwenye mambo hayo,
na anatumia huo udhaifu kukukamata vizuri.

Kwani, huna uwezo wa kumpata mwingine?

Jifanye unampenda sana, Ila atakupa la kukuweka chini mtulie.

Huoni Mungu anavyokupa viashiria vya kukulazimisha uachane nae?

Niwie radhi kwa maneno 'butu'.
 
Pole sana mkuu kwa yaliyo kukuta... Hayo mambo yapo sana. Nachoweza kukushauri mtoe kwenye akili yako kabisa atakuja kukufanya ujute kwenye maisha yako.
 
Move on wewe bishoo. Upendo gani wa kindezi hivyo?
Futa namba, futa convo na kila kinachomuhusu kwenye simu yako then chill up utamsahau tu japo itachukua muda kiasi.
 


Nimeandika nimefuta nikaandika tena nikafuta.

Kapime ngoma kama uko salama acha basi jitambue na uwe na msimamo.

Daktariiiiii.
Unakwama wapi weweee?

Dunia ya Mungu ina watu wema wanakusubiri wewe unazidi kuwekeza moyo wako kwa kahaba mzoefu?

Stuka!
 
Nimekuelewa Mkuu, Asante San Kwa Ushaur
 
Samahani Mkuu, Ila Pia Asante Kwa Ushaur Wako,

Samahani Mkuu, Ila Pia Asante Kwa Ushaur Wako, Nimebanwa
Kaka situation yangu inafanana na yako mimi alikuwa ananipenda sana mwanzo lkn asaiv vdharau na vijeuri kibao sema mm udhaifu wangu shape na mtoto mashallah shape anayo lkn kama ningekuta meseji kaliwa aisee ningemuacha japo inakuwaga ngumu ila tatzo lako wewe ni memory lkn kumbuka kuwa memory huwa hazifutiki haraka wazungu wanasema it's matter of time ni swala la muda tu utamsahau kabsa nautajiuliza kabsa nilkuwa nashindwa nn kumuacha au ukishindwa hvo mtafute psychologist atakushaur utakaa sawa ila sisi wahun huwa tunajituliza wenyewe japo inauma lkn itapowa nahaitasumbua tena kichwan mm hapa nampango nimuache japo ndo hvo kishundu nacho kinakwamisha
 
Maana Yake Nin?
Shuntama ni aina ya dawa ambayo inakuwa na mchanganyiko wa nyama (hasa maini) , mwanamke anayaweka kwenye uchi wake kwa siku zisizopungua 7 kila akienda haja anayatoa akimaliza anayarejesha. Anakuja kujuchanganyia na maini fresh kisha anayaandaa vilivyo anakupa na chapati na chai , ukila ikakukubali ndio unakuwa taahira kwake husikii wala nini juu yake kimapenzi kama hivo ambavyo wewe uliambiwa uso kwa uso kuwa hakupendi wewe anampenda jamaa mwingine ukalia weeeee hadi ukaenda kumhadithia mama lakini bado umeendelea kuwa kama kenge vile kusikia hadi damu ikutoke.

Ni sehemu ya maisha hata hivyo, ingawa nakushauri kuwa makini sana vinginevyo shukuru sana Mungu wako maana mmh!

Dawa hiyo wanatengeza sana waganga hapa Nshamba ya Muleba Kagera
 
pole sana mkuu
 
Duuh kuna binadam mna roho ngumu kama chuma. Mimi nachokiona kutoka kwako ni either umeshindwa kupata mwanamke mwingine ambaye ni mzuri kuliko huyo au umeshindwa kabisa kupata demu mwingine yeyote ambaye atakuwa anakuondolea nyege. Kwa kifupi (samahani lakini) wewe ni domo zege/huna swaga za kupata mademu.
 
Umetisha sanaa [emoji23][emoji23][emoji23] umesema ukweli mtupu, udhaifu wa huyu jamaa ni hiyo mbunye, kitu kizuri udhaifu wako demu anaujua ndio maana akakutumia picha kabisa, kingine jamaa unaonekana huwa anastruggle sana kupata mbunye kwa mademu wengine Ndio maana still unaikumbuka ile ambayo Ulikuwa unaipata kiulaini kwa kujipimia unavyotaka, Ushaur wangu futa kila memories za huyo demu wako, then tafuta pisi kali ambayo itakuwa ipo available anytime utakapoihitaji naamini uta move on na utamsahau
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…