Nywilla JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 379 Reaction score 350 Oct 6, 2017 #1 Wasalaam! Hivi kweli Mwanza kuna office au wahudumu wa cable tv mjini na mitaani?
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,200 Oct 6, 2017 #2 Ipo kuna inayoitwa barmedas cable office zao ziko pale karibu na salmakoni ukiulizia tu pale utawawapata
Ipo kuna inayoitwa barmedas cable office zao ziko pale karibu na salmakoni ukiulizia tu pale utawawapata
D dabadest Member Joined Jul 31, 2015 Posts 52 Reaction score 22 Oct 6, 2017 #3 Nywilla said: Wasalaam! Hivi kweli Mwanza kuna office au wahudumu wa cable tv mjini na mitaani? Click to expand... wapo mkuu pale mtaa wa bantu na mtaa wa nkomo fika mitaa hiyo na ulizia barmedas cable au wengine wanaitwa mwanza satelite,au fika mtaa wa ghana na ulizia ghana cable angalizo
Nywilla said: Wasalaam! Hivi kweli Mwanza kuna office au wahudumu wa cable tv mjini na mitaani? Click to expand... wapo mkuu pale mtaa wa bantu na mtaa wa nkomo fika mitaa hiyo na ulizia barmedas cable au wengine wanaitwa mwanza satelite,au fika mtaa wa ghana na ulizia ghana cable angalizo
Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 8,247 Reaction score 12,766 Oct 6, 2017 #4 Ghana cable kwa wakazi wa maeneo Ghana na vitongoji jirani tu...ila Mwanza satellite na Barmedas jiji zima wametandaza nyaya zao!
Ghana cable kwa wakazi wa maeneo Ghana na vitongoji jirani tu...ila Mwanza satellite na Barmedas jiji zima wametandaza nyaya zao!
Nywilla JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 379 Reaction score 350 Oct 6, 2017 Thread starter #5 Shukrani sana mkuu!
Nywilla JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 379 Reaction score 350 Oct 6, 2017 Thread starter #6 Ndebile said: Ghana cable kwa wakazi wa maeneo Ghana na vitongoji jirani tu...ila Mwanza satellite na Barmedas jiji zima wametandaza nyaya zao! Click to expand... Mkuu shukrani sana vp kuhusu bei yao?
Ndebile said: Ghana cable kwa wakazi wa maeneo Ghana na vitongoji jirani tu...ila Mwanza satellite na Barmedas jiji zima wametandaza nyaya zao! Click to expand... Mkuu shukrani sana vp kuhusu bei yao?