Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 458
- 192
wakuu habari za majukumu mie natumia huawei Y511-T00 haiko rooted tatizo ni kwamba inabaadhi ya apps zipo kwa kichina na halafu haina preinstalled apps kama vile google+,google drive,google play store na hazikubali kuinstall lakini pia google play service na google maps zinaniandikia unfortunetely has stooped msaada plziiiiii
ok! Mm nmesha kutana na htc pia ilikua Haina G Apps... Kama walieka customs mayb walisahau kueka G Apps ... Chamuhmu hapo tafuta mobogenie, amazon au one mobile store... Huta htaj tena playstore... So download mobogenie .... Ndo my first recomend
tafuta g apps za cm yako the install either kawaida au kwa cmw au twpr
Jaribu kuiformat kwanza km haijakubali rudi tena
wakuu habari za majukumu mie natumia huawei Y511-T00 haiko rooted tatizo ni kwamba inabaadhi ya apps zipo kwa kichina na halafu haina preinstalled apps kama vile google+,google drive,google play store na hazikubali kuinstall lakini pia google play service na google maps zinaniandikia unfortunetely has stooped msaada plziiiiii
iwape lazima itakubali hii ni kwa ajili ya kuclear hyo error au update rom utapata na g apps pia utapata android 4.4..2 kitkat