K kibila JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 807 Reaction score 576 Oct 28, 2015 #1 Ndugu habari za Leo nina tatizo kwenye simu yangu ya HUAWEI Niki connect data ina stack na wakati mwingine inatoa meseji ya unfortunately systeminfo had stopped nini ni tatizo jamani mana inakosesha raha
Ndugu habari za Leo nina tatizo kwenye simu yangu ya HUAWEI Niki connect data ina stack na wakati mwingine inatoa meseji ya unfortunately systeminfo had stopped nini ni tatizo jamani mana inakosesha raha