Msaada: HTC Naipenda sana lakini...

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana JF

Mnaweza kunilaumu kuleta mada hii hapa ila nimeiandika kwa kua jukwaa hili linatumiwa na watu wengi na kila rika

Niko na simu ya HTC deserer 8181 ila nahisi km ina virus maana kila nikifunguacho kinasumbua nikipiga picha baada ya dakika 5 inaliwa haionekani tena au itaonesha nusu.

Kibaya zaidi kuingia JF ndio zaidi ya utata hadi niivizie na mara kwa mara inajizima aplication ninayoitumia nyimbo ukipiga zinaingiliana 3 hadi 6 mara inaganda hakuna kinachoendelea

Nisaidieni waungwana jee hii simu ina virus ? Na ni vipi nitawatoa? Na jee ni vipi naweza kuilashi kwa kutumia Online flash? Maana nimeshafnya hand reset sana ya simu na memory ila tatizo haliishi.

Siko tayari kuikosa JF

Nisaidieni Nifanyeje?
 
Mkuu thread yako ukiipeleka jukwaa la
Teknolojia nadhani ungepata msaada wa
haraka sana maana kule kuna wabobeaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…