MSAADA HGL

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
189
Reaction score
84
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nina mdogo wangu amepata division 3 ya 24 anataka kusoma HGL kwenye combination ana CDD.
Shule gani itamfaa ya private yenye ada ya million 2 au chini ya hapo.
Itapendeza kama mkinisaidia shule Na ada yake
 
Alphagems ada yao ni milioni 1 na laki 1 kwa bwenini
 
Hawezi kusoma iyo comb minimum comb ni ufaulu wa CCD kwa masomo ya comb.
 

Mpeleke VETA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…