Msaada: Hela ya unga, nakufa njaa

watu wana majibu ya ovyo mara auze simu, mara jf kajiungaje hizi ni sababu za kutotaka kumsaidia tuwe na moyo wa upendo kwa wenzetu waweza kuta ana njaa kweli mpaka kaja kuandika humu
 
Asante sans hadith nzuri sana hii.
 
Kama Uko Bunju nikuelekeze sehemu ukachukue unga , ila niko mbali pesa siwezi tuma , otherwise tuache masikhara kama uko Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…