Nina maswali hapa mkuu
1. Upo wapi?
2. Je hapo ulipo hauna ndugu/majirani?
3. Huo unga utaulamba then ukunywe na maji?
4. Huo unga tukisha ununua, tunakutumiaje?
5. Kwanini usinge nunua unga na ukanunua MB?
6. Unahitaji unga kiasigani?
7. Kwanini usiuze sim ili usikufe na njaa?
Umekosa hela ya unga lakini umepata ya bando na kuingia jf kuomba msaada? Mh kila la heri mkuu.[/UOTE]anaweza kuwa anatumia free basic jf nibure binafsi nikiishiwa bado huwa natumia
Mkuu hiyo ela tunakutumiaje mkuu.
Watu wana maswali mengi ila kwa watu tuliokwisha pitia kipindi kigumu tunaelewa haya mambo.
Unaweza kuamka siku mbili huna A wala B hakuna cha ndugu wala jirani wa kukusaidia.
Weka jinsi ya kukusaidia kama unaongopa utahukumiwa na Mungu wako
Hahahah ni sahihi kabisa alichokifanya kununua bundle ili aombee unga, mtamuona kama Abunuasi lakini ana akili, unga angekula mara moja au mbili na biashara ikaishia hapo LAKINI bundle itamsaidia kupata unga au mawazo ya muda mrefu zaidi. Ametuzidi kwa hili. Wengi mmekua narrow minded