Msaada gari imegoma kuwaka

Acha kudanganya Watu mkuu, suala la fen kuzunguka gari ikiwa switch on inategemea na aina ya gar
 
Amesema alienda kukagua OIL wakati engine inazinguka kitu ambacho hakishauriwi.Angekuwa amefunga tai na tai ikanaswa na hizo propeller tungekuwa tunazungumza mengine
Sijui hili la kukagua oil wakati engine inakimbia alifundishwa na nani
 
Atasubiriaje gari kupata moto wakati haiwaki?
 
Nashukuru kwa mawazo na michango yenu wadau nishapata pa kuanzia..nitawapa mrejesho mambo yakitengamaa
 
Acha kudanganya Watu mkuu, suala la fen kuzunguka gari ikiwa switch on inategemea na aina ya gar
Mkuu, labda unambai ni gari ipi ambayo switch ikikaa On tu mafeni yanazunguka and kwanini yanazunguka.... Naomba maelezo ili namie leo nijifunze kuwa kuna gari aina fulani ukiweka switch on tu feni zinazunguka
 
Atasubiriaje gari kupata moto wakati haiwaki?
Nlikuwa namfahamisha kuhusu uzungukaji wa mafeni na kwanini yanazunguka na mda gani yanakuwa hayazunguki, au nimekosea mkuu?
 
Mkuu kwa Maelezo yako, shida hapo ni fuse
 
Nipo nimetoka kupeleka ripoti kwa wenger kuwa Iwobi alikuwa hajala usiku kucha ana party kisha next day kenda kucheza mpira πŸ˜€ πŸ˜€ najua unaomba dua hapo tusije tukamchukua Ozil wala Sanchez January hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeanza...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeanza...
hahahaha huu uwanja bora tuwaachie wenyewe mana tukiendelea hapa hii thread mara itahamishwa kwenye sports... nakushauri kama unataka kuingia uefa hakikisha unafanya usajili πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ venginevyo msimu unaofata utagombania nafasi ya kubaki ligi kuu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji2] sawa bhana....,twendege kule uwanja wa nyumbani...
 
Mkuu, labda unambai ni gari ipi ambayo switch ikikaa On tu mafeni yanazunguka and kwanini yanazunguka.... Naomba maelezo ili namie leo nijifunze kuwa kuna gari aina fulani ukiweka switch on tu feni zinazunguka
Kuna gari niliwahi kuitumia ilikuwa ukichomoa boya la umeme linalofungwa kwenye fan na ukaweka switch-on tu fan zinaanza kufanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…