Hadi sasa hilo euro coach halijatoka..Wakuu nina shida na game la euro coach simulator ambalo developer wake ni wale waliotengeneza euro truck simulator 2. Nimejaribu kudowload torent na setup za kawaida nyingine had GB 5 lakini nikifika mwisho inaleta survey ili nipewe key lakini survey hazitokei.
Naomba msaada au kama kuna bus simulator nyingine nzuri mnisaidie.
Nawasilisha
shukrani mkuu. nilijaribu kuweka mod lkn nikizi enable euro truck inagoma kufunguka ikifungua inaandika ETS has stoped workingHadi sasa hilo euro coach halijatoka..
Chakufanya tumia euro truck kisha weka mod ya mabus...mod kama EAA BUS iko full na mabasi ya kutosha
Unatumia Ets2 version ipi?shukrani mkuu. nilijaribu kuweka mod lkn nikizi enable euro truck inagoma kufunguka ikifungua inaandika ETS has stoped working
Hiyo ya zaman sana mkuu..sasa tupo 1.28 ndio mana mod hazikubal kwako..nat
natumia patch ya ets2 version 1.25.2.5
asante mkuu ngoja nizitafute. pia nipo interested zaidi niendeshe bus vip kuna mod nyingine nzur zaid ya hii MAPA EAA bus mod?kuna site yaitwa modlands , tafuta mario map, tafuta volvo fh16 na mega pack + gearbox zake , tafuta 100000hp engine kwa ajili ya volvo, zote izo zipo modlands mkuu, apo uta enjoy ets2 zaidi
nimeshindwa kuipata bus simulator mkuu kila ninayopakua kwnye ku extract inahtaji survey ili nipate key then nki load hizo survey haziji na sometimes nki download zinakuwa virus na spyware. msaada tafadhalisubiri aje kcamp kuhusu izo za mabasi, kama uko intrested na kupakia mpaka abiria chukua bus simulator iko poa pia