nimeangalia madukani hapa nilipo ADATA ndio za bei ya chini kuliko nyingine.
Sijaulizia bei mkuu
nina flash yangu, ADATA, 16GB, imegoma kusoma kwenye pc zaidi ya 3.
Nimejaribu kwenda kwenye device manager nimeikuta ina error, nilipojaribu ku-update driver inasema "this device can not start (code 10)"
Naomba msaada kama kuna uwezekano wa kuitumia tena flash yangu.
umejaribu kuiformat?
Haisomi katika my computer, inapokua installed inakua unrecognized
NO way out hapo mkuu hiyo ni imekufa.
Hakunaga matengenezo ya ziada ya Flash au Memory card zaidi ya kuiformat.
kama is unrecognized or cannot formated maanas yake ni imekufa.
Mbona unanikatisha tamaa mkuu
Nilidhani umenielewa namaanisha nini
Hebu nipe background ya hiyo flash kabla ya kupatwa na hilo tatizo.
RAYO5
Nimecheeeka saaana japo ckupenda...
Ngoja nimsaidie..
Beinafuu means low quality na inakufa mapema...
Upo hapo bab....
Made in china itakuwaje umelizwa
Nashukuru hukunielewa vibaya,nikupe mfano mimi nilinunua external hard drive 720GB baada ya two weeks ikawa haisomi nilivyoirudisha pale dukani jamaa akaniambia nitakuwa nimeiangusha(nina uhakika NO) so hakuna guarantee na yeye sio fundi.nilijaribu kuzunguka kwa mafundi kila anayeiangalia ananiambia haifai teknolojia iliyotumika sio rahisi kuimodify.hizi storage devices mkuu ni ngumu kurepare kozi wametumia high tech kutengeneza,fanya tu mpango wa nyingine but nakushauri usinunue tena hiyo Adata,maybe Sandisk au Silicon..
nimeangalia madukani hapa nilipo ADATA ndio za bei ya chini kuliko nyingine.