M mparange Member Joined Nov 15, 2022 Posts 21 Reaction score 28 Mar 17, 2023 #1 Kila siku silali bila kupata Konyagi chupa ndogo 200 mls, napata usingizi mzuri, napata apetite ya kula, napata relaxation nk. Je, kiwango hicho kina madhara Konyagi ina faida gani kiafya tofauti na bia?
Kila siku silali bila kupata Konyagi chupa ndogo 200 mls, napata usingizi mzuri, napata apetite ya kula, napata relaxation nk. Je, kiwango hicho kina madhara Konyagi ina faida gani kiafya tofauti na bia?
Chief Austin Member Joined Aug 25, 2019 Posts 6 Reaction score 1 Mar 17, 2023 #2 Kwenye usingizi hapo tupo pamoja hiyo kawaida yangu hasa nikitoka kufanya kazi ngumu... Kabla ya kulala nakunywa
Kwenye usingizi hapo tupo pamoja hiyo kawaida yangu hasa nikitoka kufanya kazi ngumu... Kabla ya kulala nakunywa
curie JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 1,094 Reaction score 2,591 Mar 17, 2023 #3 Spirit of Nation
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,875 Reaction score 53,870 Mar 17, 2023 #4 Kasichana
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,796 Mar 17, 2023 #5 Humwagi haraka
Swahili AI JF-Expert Member Joined Mar 2, 2016 Posts 15,797 Reaction score 122,946 Mar 17, 2023 #6 mparange said: Kila siku silali bila kupata Konyagi chupa ndogo 200 mls, napata usingizi mzuri, napata apetite ya kula, napata relaxation nk. Je, kiwango hicho kina madhara Konyagi ina faida gani kiafya tofauti na bia? Click to expand... Kitu hakina hangover icho
mparange said: Kila siku silali bila kupata Konyagi chupa ndogo 200 mls, napata usingizi mzuri, napata apetite ya kula, napata relaxation nk. Je, kiwango hicho kina madhara Konyagi ina faida gani kiafya tofauti na bia? Click to expand... Kitu hakina hangover icho
Yohimbe bark JF-Expert Member Joined Sep 1, 2019 Posts 2,857 Reaction score 7,289 Mar 19, 2023 #7 Iko vizuri ila now nimestop baada ya kukutana na mtu nliyepotezana nae miaka mingi akaniambia saiv inaonekana unakunywa sasa pombe dah nlijisikia vibaya in short pombe kali zinafubaza sura.
Iko vizuri ila now nimestop baada ya kukutana na mtu nliyepotezana nae miaka mingi akaniambia saiv inaonekana unakunywa sasa pombe dah nlijisikia vibaya in short pombe kali zinafubaza sura.
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,316 Reaction score 15,316 Mar 20, 2023 #8 Haina madhara, hiyo hata peponi ipo. Eh! Tutagida pombe peponi, tena kule kuna mito kabisa ya pombe unajipimia mwenyewe.
Haina madhara, hiyo hata peponi ipo. Eh! Tutagida pombe peponi, tena kule kuna mito kabisa ya pombe unajipimia mwenyewe.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,121 Reaction score 165,951 Mar 20, 2023 #9 mparange said: Kila siku silali bila kupata Konyagi chupa ndogo 200 mls, napata usingizi mzuri, napata apetite ya kula, napata relaxation nk. Je, kiwango hicho kina madhara Konyagi ina faida gani kiafya tofauti na bia? Click to expand... Kiwango mujarabu kabisa
mparange said: Kila siku silali bila kupata Konyagi chupa ndogo 200 mls, napata usingizi mzuri, napata apetite ya kula, napata relaxation nk. Je, kiwango hicho kina madhara Konyagi ina faida gani kiafya tofauti na bia? Click to expand... Kiwango mujarabu kabisa