Msaada: E-mail ya reginald mengi

MimiT

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
599
Reaction score
388
Wana JF, Naomba kwa yeyote anayefahamu e-mail address ya Mheshimiwa Mengi anifahamishe, ninahitaji kuwasiliana naye. Thanx in advance.
 
Mi naomba ya Lowassa,tafadhali...
Mniwahishie...
 
i am serious jamani, any help?
 
nime google but sijafanikiwa
 
ntajaribu hiyo info@ippmed.com , lakini cdhani km wanaweza kutoa personal email yake. Ningeweza pia kuacha msg ili wampe mengi lakini nina wasiwasi kama watamfikishia.
 
Wana JF, Naomba kwa yeyote anayefahamu e-mail address ya Mheshimiwa Mengi anifahamishe, ninahitaji kuwasiliana naye. Thanx in advance.
MI NAOMBA YA YULE BINTI YAKE ANAEONA AIBU KUZUNGUMZA NA WANAUME.ANAITWA SIJUI REGINA.....:hat::hat:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…