134,000 compact plus hapo utacheki epl kwenye ss3 na badhi ya game kwenye ss7 huku ss select wakikupa game mara moja moja wikiend.
199,000 hapo ndo full karibu game zote utaona.
78,000 compact aah hicho game hamna labda uwe unavizia jumamosi kwenye ss select wakupe ka game kamoja kabaya ambako hata upendi ila utalazimika kutoa macho ili mladi tu uone.