Hivi inakuwaje mtu anaamua kusoea PCM au masomo mengine na hajui baadae anataka kusomea nini au nini?
Hili jambo linanisikitisha sana.. sielewi kabisa kwanini watu wenginr wanaingia madarasani kusoma bila kuwa na options za baadae kwenye kujiendeleza kimasomo.