mama grace
Member
- Jan 20, 2020
- 65
- 297
Nimejifungua mtoto maziwa yalichelewa kutoka mtoto alipata manjano. Nilimpeleka hospital wakamuweka kwenye machine ya kutoa njano. Ninamtoa asibuhi juani ila naona bado haiishi.
Nomba mnisaidie dawa ya njano hata kama niya kienyeji nataka iishe kabisa.
Nomba mnisaidie dawa ya njano hata kama niya kienyeji nataka iishe kabisa.