A Al-shabaab JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,791 Reaction score 620 Nov 8, 2015 #1 Habari zenu wakuu. Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone? Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu.
Habari zenu wakuu. Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone? Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu.
evonik JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 3,996 Reaction score 5,187 Nov 8, 2015 #2 Mkuu lipasue tu kulimaliza
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,733 Nov 8, 2015 #3 Pole kwa maumivu. Dawa ya jipu ni kulitumbua tu! Majipu yaliwahi kunitesa sana enzi za utotoni sitosahau...
Pole kwa maumivu. Dawa ya jipu ni kulitumbua tu! Majipu yaliwahi kunitesa sana enzi za utotoni sitosahau...
nanawoo JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 1,312 Reaction score 1,278 Nov 8, 2015 #4 Mkuu paka viks kwa usiku mmoja au dawa ya mswaki lala asubui ukiamka ukuliminya tu habari inaisha inatoka uchaf wote na ule moyo wake
Mkuu paka viks kwa usiku mmoja au dawa ya mswaki lala asubui ukiamka ukuliminya tu habari inaisha inatoka uchaf wote na ule moyo wake
M Mtoto wa kijijini Member Joined Oct 12, 2013 Posts 95 Reaction score 20 Dec 25, 2015 #5 nanawoo said: Mkuu paka viks kwa usiku mmoja au dawa ya mswaki lala asubui ukiamka ukuliminya tu habari inaisha inatoka uchaf wote na ule moyo wake Click to expand... kolgeti ndo inatumbua vizuri
nanawoo said: Mkuu paka viks kwa usiku mmoja au dawa ya mswaki lala asubui ukiamka ukuliminya tu habari inaisha inatoka uchaf wote na ule moyo wake Click to expand... kolgeti ndo inatumbua vizuri
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,073 Reaction score 34,844 Dec 31, 2015 #6 Al-shabaab said: Habari zenu wakuu. Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone? Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu. Click to expand... Saga kitunguu saumu kisha pakaa kwenye jipu litaiva na kuweza kulitumbuwa kwa urahisi zaidi. uguwa pole.
Al-shabaab said: Habari zenu wakuu. Naomba msaada nasumbuliwa na uvimbe(jipu) sehemu za makalio, nitumie dawa gani Lipone? Iwe ya kienyeji au ya kizungu maana linauma mno likiguswa tu. Click to expand... Saga kitunguu saumu kisha pakaa kwenye jipu litaiva na kuweza kulitumbuwa kwa urahisi zaidi. uguwa pole.