Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Inbox ya nini sasa.. Kika kitu deal tu mnafanya khaaMkuu njoo inbox
Lakini kama upo dsm kuna sehemu imenisaidia nilisumbuliwa na u t i kwa muda wa miaka miwili nilipita karibu hospital zote kubwa bila mafanikio hadi mzizi Mkavu alishidwa
Lakini kwa hivi sasa nipo poa kabisa baada ya kupata dawa hiyo
We vipi au unataka kujinufausha kwa ugonjwa wa mwenzakoMkuu njoo inbox
Lakini kama upo dsm kuna sehemu imenisaidia nilisumbuliwa na u t i kwa muda wa miaka miwili nilipita karibu hospital zote kubwa bila mafanikio hadi mzizi Mkavu alishidwa
Lakini kwa hivi sasa nipo poa kabisa baada ya kupata dawa hiyo
mkuu hebu nisaidie na mimi pia, kama hutojali tupia maelezo hapaMkuu njoo inbox
Lakini kama upo dsm kuna sehemu imenisaidia nilisumbuliwa na u t i kwa muda wa miaka miwili nilipita karibu hospital zote kubwa bila mafanikio hadi mzizi Mkavu alishidwa
Lakini kwa hivi sasa nipo poa kabisa baada ya kupata dawa hiyo
Sijawahi kukutibu Maradhi ya UTI mimi usipende kuongopa Mungu atakuadhibu kwa kuongopa kwako. Wewe ukitaka kumsaidia mtu msaidie lakini usitumie jina langu kuniharibia kwa watu Utalaanika kwa Mungu nitamuomba Mungu akulaani kwa kutaka kuniharibia jina langu.Mkuu njoo inbox