Wakuu, habar za majukum
Naomba msaada toka wadau humu, Nina mdogo wangu wa Kike, anatafuta kazi, yoyote tu yeny maslah. Elimu yake labda niseme tu kaishia form4 sabab aliwahi kusoma ngaz ya Certificate ila hakumaliza kutokana ukosefu wa Ada.
Anaujuzi wa stationery sababu alishawah kufanya kazi huko.
Ikipatikana ya dukan pia ni good, direct sales pia sio mbaya.
Anaishi mbagala Zhakiem
Nitashukur kwa msaada wenu
Ramadhan Kariim