Msaada computer yangu imecolapse.

Wij

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
478
Reaction score
142
Nimedownload program moja ya kulock folder inaitwa FOLDER SECURITY PERSONAL 4.2,baada ya kuinstall ndo mambo yakawa mambo.kila program ninayotaka kufungua napata hii message.''These files can't be opened.your internet security setting prevented one or more files from being opened'' Nimejaribu ki uninstall imegoma. Vivile vile nimejaribu kuweka os upya ikifika kwenye expanding window files inaniambia sam files are missing inanipa error code 0x80070001.NAOMBA MSAADA JAMANI NIMEKWAMA.
 
dawa ya zile software znazodai hazitak kuna UNSTALLED we tumia software flan inaitwa Revo Unstaller search google.
Ukidownload itakusaidia kui unstall hyo last installed software.
 
Yes,lakini mambo yamekuwa yaleyale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…