MSAADA CHUO CHA NURSING

ENG.PETER

Senior Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
137
Reaction score
211
Waungwana ningeomba kujuzwa Kwa yeyote anayejua chuo cha nursing kilichopo ndan ya mkowa wa daresalaam

Nitashukuru kama nitajulisha mahara kilipo na kama itawezekana na ada yao pia

Maana mdogo Wang anaelekea kumaliza mwaka Sasa. Toka mwaka Jana
Kwan nimiongoni mwa wale waliohitaji kupita jeshini ...wamezungushwa sana nasasa ameniomba nimtafutie chuo cha nursing

Naamin chuo chochote anaweza kukizi vigezo kwan alipata two ya point 18
Na kwenye masomo ya sanyansi alipata Alana izo......
..... physics-. B
....... Chemistry-C
.........Biology-B
.....Math-D

Changamoto inaweza kuwa kwenye ada ndo maana naomba msaada wenu wadau ASANTEN
 
jaribu paradigms college of health au A3 college au Kam college ....Lugalo,,,etc. ..hiv vyote andaa 2m per year ...msosi kujitegemea.....hiv ndivyo naviamin kwa DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…